TBoost promotion | TBet Sport Betting

Boost ushindi wako mpaka 600,000tsh!


Kwenye msimu huu mpya, TBet inakuletea promosheni mpya kwa wale wateja wote wapya waliojiandikisha kwa kuwapatia bonasi kwenye tiketi zao za ubashiri walizotengeneza kwa kutumia wallet ambapo tiketi hizo zitakuwa na chaguzi ya timu kuanzia timu 5 au zaidi.

Bonasi itakuwa kwenye asilimia zifuatazo kutegemea na timu/idadi ya mechi ulizochagua:

Idadi ya ubashiri - Bonasi ya asilimia
JINSI UTAKAVYOFANYA CHAGUZI YA TIMU NYINGI NDIVYO ASILIMIA ZAKO ZA BOOST ZITAKAVYOPANDA
Jinsi ya kuzipata?
  1. Tiketi ambazo zitakuwa zimelipiwa kwa njia ya Pochi na mchezaji ndio zitakuwa halali
  2. Weka multibet ya kuanzia timu 5 au zaidi.
  3. Hakikisha kwamba kila mechi umeichagulia odd ya 1.20 au zaidi.

Bashiri ambazo zitakuwa zimelipiwa kwa Freebet au bonasii (Bonus Wallet) hazitoweza kushiriki kwenye promosheni hii.

Lini nitapata zawadi zangu?
  1. Bonasi yako itakwenda sambamba pamoja na ushindi wa tiketi/bashiri yako. Malipo hayatochukua zaidi ya saa moja baada ya matokeo ya mechi yako ya mwisho kukamilika.
Kitu gani kingine nahitaji kujua?
  1. Ushindi wa nyongeza ya mwisho utakuwa shilingi 600,000tsh kwenye tiketi zote.
  2. Kama ikitokea mechi yoyote kwenye chaguzi zako imehairishwa au haijachezwa kama ilivyotakiwa na kukuacha wewe kwenye tiketi yako kubakiwa na timu pungufu 4 na sio tano kama inavyotakiwa, itapelekea tiketi yako kutokuwa halali tena kwenye hii promosheni.
  3. Kama mechi yoyote kwenye tiketi yako uliyochagua imehairishwa au kutochezwa na kukuacha wewe umebakia na timu 5 au zaidi kwenye tiketi yako, tiketi yako bado itakuwa halali kwenye hii kwenye hii promosheni lakini bonasi yak itafanyiwa mahesabu upya kutokana na namba za idadi ya timu zilizobakia.
    Kwa mfano kama chaguzi 1 kwenye jumla ya chaguzi 9 imehairishwa au kuchezwa siku nyingine, ushindi wa tiketi utatolewa baada ya kufanyiwa marekebisho ya timu 8 zilizobaki. Ushindi wa zaidi (TBoost) utatolewa kutokana na asilimia ya timu 8 zilizosalia kwenye chaguzi ya bashiri/tiketi yako.