Money Back Betting promotion | TBet Sport Betting

TBet inakurudishia hela yako kama ukishindwa mchezo mmoja wenye chaguzi ya timu tano na kuendelea.

Hii inamaanisha, kama team moja ikifeli hapa tutaweza kukurudishia amana yako kama FreeBetJinsi ya kuipata?

Weka multibet yenye timu 5 au zaidi na tumia Pochi yako kama njia ya malipo, na kama ikitokea timu ikaenda tofauti na matokeo na kushindwa basi utawezwa kurudishiwa amana yako mpaka 20,000tsh.

Ili uweze kushiriki kwenye kampeni hii, tafadhali ingia kwenye tovuti yetu kwa kutumia barua pepe yako mpya au ya zamani uliyotumia kujisajili na TBet, kisha fuata hatua hizi:

 1. Bashiri zako zitakubalika zikiwa na odds inayoanzia 1.5 au zaidi.
 2. Kiwango cha chini cha kuweka bashiri kwenye promosheni hii ni 2,000tsh.
 3. Kiwango cha juu cha kuweka bashiri kwenye promosheni hii ni 200,000tsh.
 4. Kiasi cha mwisho atakachopewa mchezaji kutokana na promosheni Money Back ni 20,000tsh.
 5. Hela itakayotolewa kama asante kutoka kwenye promosheni Money Back hii, itaingia moja kwa moja kama FreeBet kwenye Pochi yako.
 6. Tiketi zitakazolipiwa na mchezaji kutokana Bonus Wallet au FreeBet hazitoweza kushiriki kwenye promosheni hii.
 7. Bashiri yako ya kwanza ya siku ambayo itakuwa imetimiza matwaka yote ya promosheni hii ndio itakuwa ina nafasi ya kushiriki.
 8. Mda wa kushiriki katika promosheni hii ni kila siku kuanzia saa 00:00 usiku mpaka saa 23:59 usiku wa siku hiyo.
 9. Bashiri/ Tiketi yako inabidi iwe imetatuliwa ili kuweza kushiriki kwenye promosheni hii. Hatutoruhusu tiketi au bashiri ambazo zitakuwa zimetenguliwa au kukataliwa.
Ni baada ya mda gani nitapata hela yangu?
 1. Zawadi zitatolewa ndani ya masaa 24 ya siku ya mchezo utakapokamilika na tiketi yako inapokuwa sawa. Mfano: mechi yako ya mwisho kwenye tiketi imeisha 01/01 20:00 kwahiyo utafanyiwa malipo yako ya FreeBet kabla ya 02/01 majira ya 20:00.
Kitu gani kingine inanipasa kufahamu?
 1. Promosheni ni kwa mtu mmoja kwa siku moja.
 2. FreeBet inakuwa halali kwa wiki moja toka ilivyotibitishwa kwenye mtandao wetu.
 3. Ikitokea moja ya mchezo wako uliochagua kwenye bashiri nyingi umehairishwa au kutochezwa kama ilivyotakiwa kuacha kwenye mkeka ukiwa umebakia na chini ya timu 5, hautokuwa mshiriki sahihi kwenye promosheni hii bali.