Rollover ni nini?

Rollover ni kiasi cha hela ambacho mchezaji anabashiria ili kufikia matakwa ya kupata faida kutoka kwenye bonasi iliyopitishwa.

Inamaanisha nini Rollover x5?

Rollover x5 inamaanisha mchezaji inabidi abashiri mara 5 kwa kiasi cha ile bonasi aliyoipokea kabla ya kuanza kutengeneza faida na hizo fedha. Inamaana kuwa kama mchezaji atapokea 1000tsh kwenye Bonus Wallet au Freebet ina maana itampasa abashiri (1000x5) 5,000tsh ili atimize Rollover.

Mda gani unafaa kuachia Rollover zangu?

Bashiri zote zinazotimiza kiwango cha chini/mwisho cha chaguzi mbili na zipo kwenye mpaka wa bashiri ambazo zimetayarishwa na TBet inaweza kuruhusu/kuachia Rollover; Hii yote itawezekana kama bashiri itakuwa imelipiwa na hela kutoka kwenye Wallet, Bonus Wallet, Freebets au njia yoyote ya malipo inayotolewa kwa na TBet (Tigopesa, Mpesa, Airtel Money). Kumbuka: Sharti mchezaji lazima asubiri mkeka wake uthibitishwe kama umeshinda au umechanika ili kupewa Rollover.

Jinsi gani hela za Bonus Wallet au Freebet zinavyofanya kazi?

Mpaka mchezaji anapokubali na Rollover zinazowekwa kwenye hela, kwahiyo ushindi wote unaopatikana kwa njia ya tiketi utawekwa sawa na Bonus Wallet au Freebet zitalipwa kama hela kwenye mazingira hayohayo. Ni muhimu kufahamu kwamba utumiaji wa hela hauruhusiwi kwenye chaguzi zenye odd 1.8 au zaidi ya hizo odds.

Napata vipi faida na Bonus Wallet yangu na Freebets?

Baada ya kuzikubali Rollover zilizotayarishwa na hela, ushindi unaofuata utapatikana kutoka kwenye tiketi ambayo itatokea kwenye Bonus Wallet au Freebets italipwa moja kwa moja kwenye wallet ya mchezaji ili aweze kuendelea kucheza kwa kutumia wallet au kutoa hela mda wowote anaotaka.