1. Kuweka pesa kwenye pochi yako, fuata maelezo yafuatayo ya mtandao wako wa simu

M-Pesa:
Piga *150*00#

Tigo Pesa:
Piga *150*01#

Airtel Money:
Piga *150*60#

Halo Pesa:
Piga *150*88#


2. Tumia

Namba ya kampuni 707707

Kumbukumbu namba 000

Kiasi cha kuanzia Tsh. 500 hadi Tsh. 200,000


3. Sharti uwe na akaunti iliyosajiliwa TBet ili uweze kutumia pesa kutoka katika pochi yako